Nchi mbili…

Tamaduni mbili…

Upendo mmoja

"KARIBU KWENYE HARUSI YETU"

Zimebaki

Siku
Masaa
Dakika
Sekunde

«Mungu ndiye aliyetuunganisha, japo tunatoka nchi tofauti. Leo, kwa upendo na imani, tunasherehekea kuwa sisi sasa ni mwili mmoja.»

UPENDO WETU HAUNA KIKOMO

Kwa upendo na furaha,

pamoja na familia zetu

WAZAZI WA BIBI HARUSI:

Marta Ferreira García

Mario Olivares Galván

WAZAZI WA BWANA HARUSI:

Elizabeth Melita Massawe

Patience Joachim Komba † 

4:00 P.M.

MISA TAKATIFU

KANISA KATOLIKI PASUA

6:00 P.M.

TAFRIJA

UKUMBI WA HUGOS NATIONAL HOUSING

SIKILIZA WIMBO  WETU

KANUNI YA MAVAZI

Mavazi ya Usiku:

Hii ni harusi ya usiku, hivyo tungependa muonekano wa heshima na wa kisasa.

AKINA MAMA/DADA: Gauni refu au gauni la cocktail. Nguo zenye mng’ao (glitter), satini na vitambaa vinavyovutia zinaruhusiwa

AKINA KAKA/BABA: Suti rasmi au koti la suti na suruali ya heshima. Tai au tai ya kipepeo (bow tie) si lazima, lakini zinakaribishwa sana. Viatu rasmi vya heshima.

MGUSO MAALUM

Ili kuendana na mazingira ya harusi, unaweza kunogesha muonekano wako kwa kutumia vitambaa vyepesi, urembo wa maua madogo madogo, rangi za kuvutia, au urembo wenye nakshi unaoendana na asili ya watanzania.

ILANI MUHIMU

Ili kuhakikisha faraja na utulivu wa sherehe hii, watoto hawataruhusiwa. Tunashukuru sana kwa uelewa wenu.

TAARIFA ZA BENKI

Kwa ajili ya zawadi za fedha kwani hakutakuwa na meza ya zawadi

Mpesa: Elizabeth Massawe — 0766621880

UTHIBITISHO WA KUHUDHURA

Tunataka kuhakikisha kuwa tuna mahali maalum kwa ajili yako.

Tujulishe kama utaweza kushiriki nasi

HASHTAG ZA INTAGRAM

Tunapenda kuona picha ulizopiga katika harusi yetu, tafadhali zitume hapa

#FeryDavid

#MéxicoYTanzania

#LoveVibes

Asante kwa kuwa sehemu ya siku hii kuu

¡Diseñamos la invitación para tu evento!

Visita: www.elgrandia.mx